Cristiano Ronaldo amevunja Rekodi ya Ronaldo De Lima.



Cristiano Ronaldo leo amemzidi rasmi idadi ya magoli ya kimataifa Ronaldo De Lima. 
CR7 63
Nazario 62  



Baada ya hat trick yake ya usiku huu, Cristiano Ronaldo sasa amefunga hat trick 42 katika maisha yake ya soka la ushindani.