Kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mwanaume aliyemfumania



DAR: Mahakama imemhukumu kifungo cha maisha jela, Erick Kasila (39) kwa kumlawiti mwanaume aliyemfumania gesti akiwa na mkewe. Hukumu hiyo imetolewa baada ya kuwasikiliza mashahidi 5 na kuangalia picha za unyama huo.