MAPENZI MOTO MOTO: Alichokiandika Jokate (KIDOTI) kwenye siku ya kuzaliwa ya Alikiba

Alikiba na Jokate wamekuwa kwenye Mahusiano ambayo hayajawekwa wazi japokuwa mara wanaonekana wakiwa pamoja. Ni kati ya mahusiano ambayo hayana Show off kabisa ukilinganisha na mahusiano ya mastaaa Wengine wa Muziki.

Alikiba na Jokate


Katika Siku ya Kuzaliwa ya Alikiba Jokate maarufu kwa jina la Kidoti aliandika ujumbe kwa Lugha ya Kifaransa kama kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa na kuibua mijadala na tafsiri tofauti katika mitandao ya Kijamii.

Ujumbe wa Jokate kwa Alikiba
Ujumbe wa Jokate kwa Alikiba
Tafsiri ya Ujumbe toka kwa Mashabiki  "Birthday baby i love you a lot it hurts. I hope that the French has sung you prepare for it, but I want nothing but the best for you from the bottom of my heart the rest I leave to god. Whatever happens to know that jojo does not really care and that im happy to have had you as a friend remains being"