Mafanikio ya Nyimbo ya 'Salome' ya Diamond ft Rayvany toka itoke

Toka itoke Nyimbo ya Salome imevunja rekodi nyingi Barani Afrika hasa katika mtandao wa You tube na kuwa katika nyimbo iliyotazamwa zaidi katika siku chache. Leo nakuletea rekodi nyingine ambazo wimbo huu imezifikia.



Ningependa niwajulishe kuwa Nyimbo yetu pendwa ya #SALOME imeshika nafasi ya kwanza katika Nyimbo Miamoja bora (100 ) zinazoongoza kwa kununuliwa nchini KENYA... thanks alot KENYA for the Big Love🙏 




Jus Woke up with 4 Million Views on My brand new Hit #SALOME (wadau nashukuru sana kwa Mapenzi yenu Makubwa mnayozidi nionyesha mimi pamoja na kazi zangu... Na  Nawaombea kwa Mwenyez Mungu awajaalie kila jema mliombalo kwake🙏