Maneno ya Kocha wa Yanga baada ya Ushindi wa bao 4 dhidi ya JKT



"Tunamshukuru mwenyezi mungu kwa ushindi wa leo, kwa hali iliyopo sasa ilikuwa lazima tupate ushindi. . Pia niwapongeze JKT kwa mchezo mzuri leo hasa kipindi cha kwanza, waliweza kutubana lakini maelekezo niliyowapa vijana wakayafuata na kupelekea kuibuka na ushindi huo!nawashukuru mashabiki wa Yanga kwa ushirikiano wao waliotupa waendelee hivyo hivyo kwa michezo ijayo"

Juma Mwambusi
Kaimu Kocha Mkuu.