@pjpauljames akiwasili mjengoni! #Paulback
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, Mh Hudson Kamoga leo alifika katika kipindi cha #Clouds360 ambapo aliwaaga Rasmi wadau wa kipindi hicho.
Wakati @hudsonkamoga anaondoka Mjengoni, alikutana na 'mgeni mwenyeji' akiingia Mjengoni; #PaulBack.
Najisikia nipo nyumbani sasa! Sure nilipamiss Mjengoni. #PaulBack @pjpauljames
Mjomba Athuman wa 88.4 Mtwara alikuwa amepumzika nje ya Uwanja wa Nagwanda Sijaona akijaribu kupata picha ya #Fiesta2016 itakayorindima Jumamosi hii katika Uwanja huo.
Ghalfa alisikia sauti adhimu ikisoma gazeti kutokea #XXL ya Redio ya Watu.
Mjomba alihamaki na kudhani anaota ndoto za mchana kwa kuwa sauti hiyo hakuzoea kusikia katika wakati huo.
Ghalfa alisikia sauti adhimu ikisoma gazeti kutokea #XXL ya Redio ya Watu.
Mjomba alihamaki na kudhani anaota ndoto za mchana kwa kuwa sauti hiyo hakuzoea kusikia katika wakati huo.
Alipouliza wenzake kuna nini, jibu alilopata ni kwamba; #PaulBack.
Moja kwa moja hadi ofisini kwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji ndugu Ruge Mutahaba. Karibu Nyumbani. @pjpauljames. #PaulBack.
PJ ; "Anaitwa @sebamaganga Mkurugenzi wetu wa Maudhui na Mwenyekiti wa Kamati ya #Fiesta2016. "@sebamaganga ; "Anaitwa Paulo James. Ni dhahiri shahiri kwamba na yeye ameliwahi basi msimu wa #Fiesta2016 kwani amerejea nyumbani kabla ya msimu huu kufikia ukingoni." #PaulBack