Kamati ya TFF ya uendeshaji wa Ligi imeipiga faini ya milioni 5 Klabu ya Simba



Kamati ya TFF ya uendeshaji wa Ligi imeipiga faini ya milioni 5 Klabu ya Simba kufuatia mashabiki wake kung'oa viti ktk mechi ya Simba na Yanga.

Pia Kamati hiyo imeifuta Kadi nyekundu aliyopewa nahodha wa Simba, Jonas Mkude baada ya kuthibitika hakustahili kadi nyekundu.