Mkurugenzi wa Idara ya Maafa nchini ametahadharisha kutokea kwa ukame



Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig. Jenerali Mbazi Msuya atoa tahadhali ya kutokea kwa hali ya Ukame utakaosababisha kukosekana kwa chakula kwa baadhi ya maeneo nchini.

Aidha Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Chakula Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Bi. Marystela Mtalo azungumzia umuhimu wa kuhifadhi chakula na kulima mazao yenye kustahimili ukame
Chanzo: Michuzi Blog