Nchi za Rwanda na Burundi zimetangaza kuacha kusafirisha mafuta kupitia Bandari ya Mombasa



Nchi za Rwanda na Burundi zimetangaza kuacha kusafirisha mafuta kupitia Bandari ya Mombasa kwa madai ya uchakachuaji wa mafuta yao.

Nchi hizo zimesema kuwa zitatumia Bandari ya Dar ambayo ni karibu na kuna uhakika mafuta yao hayatachakachuliwa. Kwa muda mrefu Bandari ya Mombasa imekuwa ikituhumiwa na wafanyabiashara wa mafuta kwa uchakachuaji.