NIGERIA: Rais Buhari amemfuta kazi mwandishi wake wa hotuba



NIGERIA: Rais Buhari amemfuta kazi mwandishi wake wa hotuba aliyenakili sehemu ya hotuba kutoka kwenye hotuba aliyoitoa Rais Obama 2008.

Mnamo Septemba 8 Rais Buhari alisoma hotuba bila kujua baadhi ya sentensi zimenakiliwa kutoka kwenye hotuba ya Rais Obama.