Barakahtheprince aomba Msamaha kwa hili



Barakahtheprince aliahidi kutoa Video ya Nyimbo yake tarehe 30 ya Mwezi Septemba, Pamoja na ahadi hiyo ameshindwa kutekeleza ahadi yake na amehahidi hili kuhusu kuachia Video yake. Nafahamu niliwaahidi kwamba #Nisamehe video ingekuwa premiered on MTV Base jana tarehe 30, lakini kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wa @mtvbaseafrica ilishindikana, but the good thing is, sasa tuna siku rasmi na muda. #Nisamehe video X @officialalikiba itakuwa premiered on @mtvbaseafrica siku ya Jumanne saa 11 jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Let the countdown begin!!! Directed by @mejialabi