Donald Trump alidanganya kuwa alipata hasara ya zaidi ya shilingi trilioni 1 na hivyo akakwepa kodi



Gazeti la 'Times' limemtuhumu, Donald Trump kudanganya kuwa alipata hasara ya zaidi ya shilingi trilioni 1 na hivyo akakwepa kodi. 


Ripoti hii imekuwa ni taarifa mbaya kwa kambi ya mgombea wa Republican Donald Trump.