Tasnia ya wanawake yatoa Zawadi kwa Muigizaji Shamsa Ford



Shamsa Ford kayaongea haya Baada ya kupokea zawadi toka kwa Taasisi ya Wanawake Asanteni sana ndugu zangu kutoka Tasnia ya wanawake kwa zawadi hii mliyonipa ya pongezi ya kuolewa.kiukweli hata sijui cha kuandika ila namuomba Mungu atusimamie tuzidi kushikamana na kuziba midomo ya wanaohisi tutaishia njiani..MUNGU awabariki sana WANAWAKE WOTE WA TASNIA YA FILAMU..NAWAPENDA SANA ....ASANTENI SANA WANAWAKE WOTE TUKIONGOZWA NA MWENYEKITI WETU DADA  YETU VANITA...