Serikali yatangaza Matokeo ya Mtihani Darasa la 7 (2016)



Serikali imetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la 7 kwa mwaka 2016 ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 2.52 na shule iliyoongoza kitaifa ni shule ya Msingi Kwema ya mkoani Shinyanga.

Mtihani huu ulifanyika tarehe 7 na 8 mwezi Septemba mwaka huu.


Tembelea Hapa=> Link ya Kwanza

Tembelea Hapa=> Link ya Pili