TCRA yakipa onyo kali kituo cha runinga cha Clouds



TCRA yakipa onyo kali kituo cha runinga cha Clouds.Yakifungia kwa miezi 3 kipindi cha 'Take One' kwa kukiuka kanuni za utangazaji.


Mahojiano yaliyopelekea kipindi hicho kufungiwa ni kati ya mtangazaji wa kipindi hicho Zamaradi Mketema na Gift Stanford Maarufu kama ‘Gigy Money’ na yalirushwa Agosti 09 saa 3.00 usiku na kurudiwa kesho yake saa 7.00