Wema Sepetu amempa Pongezi Dogo Aslay wa Yamoto Band

Wema ameonyesha kudata na sehemu ambayo ameimba Dogo Aslay na kuandika ujumbe huu Insta

Mbona napiga simu hupokei, na ukipokea huongei... Na ukiongea unafoooka saana, Mwenzako nataka tu kukusabahi... Wee kidawa, Kwanini unautesa moyo wee Kidawa.... @aslayisihaka Umetisha sana kwa hii track.... 🎼🎧🎧

1 comments:

I love that song dearly