Kwa takribani zaidi ya Miaka minne kumekuwa na tetesi za Mrembo Elizabeth Michael (Lulu) kuwa na Ujauzito na Mwisho wa Siku mimba Kupotea. Stori za Mimba kwa Lulu huzagaa katika Magazeti, Redio na kwenye Mitandao ya Kijamii. Je ni kweli huwa Mjamzito? Au Skendo za Magazeti?
Leo Lulu ameandika haya kwenye akaunti yake ya Instagram kuhusu tetesi za yeyekuwa Mjamzito zaidi ya Miaka Minne bila kupatikana kwa Mtoto Ile Mimba yangu ya mwaka wa 5 huu imefanikiwa kuzaa matundaMtoto ametoka anatambaa kbsa Nasisitiza...Damu ya kihaya ni muhimu jmnOkay me I pass(me napita)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)