Alikiba amuonyesha Simba wa Kweli

Baada ya alikiba kupost picha akiwa Serengeti na kuonyesha Simba wa kweli na kuweka kicheko. Baadhi ya mashabiki wametafsiri kama ni Kejeli kwa Diamond ambaye anajiita "Simba". Na picha hiyo kusambaa mtandaoni.

Alikiba Yupo katika Mbuga ya Serengeti akiwa anasherehekea Siki yake ya Kuzaliwa

alikiba


Kumekuwa na bifu baina ya wasanii hawa kwa muda mrefu na Vijembe vingi mtandaoni. Ila Alikiba alionekana mtu ambaye huwa hajibu sana Kejeli hizo. Ila siku za hivi karibuni amekuwa akijibu mapigo na yeye katika mitandao.