Majibu ya Tunda baada ya Calisah Kupost picha aliyopiga na Tunda

Siku za hivi karibuni Mapenzi kati ya Tunda na Young yamerudi baada ya Young D kukiri kuwa amebadilika na Kwamba yeye ndiye aliyekuwa na makosa. Hatimaye Calisah mpenzi wa Wema Sepetu amepost picha ya Utata ambayo amepiga na Tunda.

Tunda


Picha hiyo imesambaa katika mtandao hasa wa Instagram na inaweza pelekea msukosuko kwa Tunda na Young D ambao uhusiano wao umerudi siku za hivi karibuni.

Baada ya Post hiyo Tunda alicomment  na kuandika yafuatayo, Kuwa Calisah hawezi toka naye na sio type yake.