AT anasema Msanii mzuri ni yule mwenye kufanya music mzuri wa tofauta na wenziwe na sio Collaboration

Msanii AT Ambaye amatamba na Nyimbo nyingi miaka ya Nyuma. Baada ya kimya kirefu ameongelea kuhusu Wasanii na Muziki na kutoa msimamo wake kuhusu uwezo wa Msanii katika Mziki.



AT amezungumzia ujio mpya wa kazi zake katika gemu ya Mziki wa Bongo Fleva

Anasema kuwa msanii mzuri atafanya vizuri kwa kufanya mziki mzuri na watofauti na sio kufanya Collaboration nyingi ili uweze kusikika.

Alichaandika Mtandaoni AT
Awali ya yote Namshukuru Mungu kwa neema zake zote pia kwa kuzilinda kauli zangu ingawa nyengine ni sumu kwa wengine Nachukua fursa hii kuongea na wa Tz wote na EA wote pia nawashukuru sana #Radio zote na tv stations zote na blogs na Magazeti na wadau mbali mbali kijana wenu nimekua nikifanya bidii kubwa sana kueka heshima na ramani ya Muziki wetu halisi ila wengi hawakujua nini nahitaji kuona sikua nahitaji umaarufu tu au tunzo maana nimeanza kupata tunzo ya kwanza #BBC kabla sijawa maarufu mwaka 2005 na 6 kupitia Wimbo wa mimi na #Pijei #NYAMA #NI #NYAMA  vitu hivi huja muda wowote bila kutumia force ya aina yoyote mm ni masanii ambae #sisimamiwi na mtu but najua mengi na naona makubwa yaliombali nawapenda #wasanii wenzangu isipokua wale wenyekujiona bora kuliko wengine hii nchi yetu ila bado tunakazi kubwa ya kufika pakubwa ijapokua inavibaji vikubwa sana kwa wale wanaonipenda ambao ni #mashabiki zangu poleni kwa kukosa haki zenu za msingi kutoka kwangu naomba #Mnisamehe niwahakikishie Kwauwezo wa Mungu mwakani huenda ikawa neema kwenu nyie yote hayo sababu naheshimuwakati na mipangilio ya kila hatua watu wa media tumeongea mingi mno leo yote yanakuja moja badala ya jengine niliwahi kusema #Msanii mzuri sie yule mwenye #collaboration nyingi ila ni yule mwenye kufanya music mzuri wa tofauta na wenziwe. Siku Nikiwa na usimamizi mzuri ndio Mtanielewa zaidi Who am I kwa sasa #nidharauni #nisemeni #nichekeni #nizibieni ila kunichamba tu ndio hamtaweza hata mchukue na India wote. Uwezo wa kufanya collaboration na yoyote upo ila Upande wangu wa #Promotion haupo #Ok kwaiyo haitaleta maana So Niwaombe Mashabiki wote Rasmi nipo likizo hadi mwakani Inshallah Tegemeeni kuona Mabadiliko kuanzia Insta video hadi Audio nimekidhi Haja ya kulipa Deni upande wa shows nashukuru wote mmekua mkiona sijawaimbia juu ya cd (playback) hiko ndicho kipimo cha ukweli wa kipaji huru next up is #KAZIYAO. ... mkono wa @abydad_finest_producer