Tunda |
Alichoandika Tunda kwa Young D “Think Positive and Positive things will happen” I am so proud of you, umeweza kubadilisha maisha yako, umekuwa mfano mzuri wa kuigwa! You’ve changed my life, i know bado sijafikia 100% but i promise kufuatisha ushauri wako and become a better me everyday. i Pray everyday Mungu azidi kukuongoza katika njia salama… You’re so blessed!