Ni baada ya Mc Pilipili kushinda Tuzo za INSTA AWARDS zilizofanyika wikendi iliyopita Escape One. Na Mc pilipili kujishindia Tuzo katika Kipengele cha Mc bora kwa mwaka 2016. Baada ya ushindi huo baadhi ya Mastaa walimuandika ujumbe wa pongezi katika mitandao.
 |
Rosse Ndauka |
Ujumbe wa Rosse baadhi ya Mashabiki walitafsiri tofauti na kuzua mjadala katika mtandao wa Instagram. Baadhi ya Mashabiki kuhisi kama kuna mahusiano yanaendelea kati ya wasanii hawa wawili.
Ujumbe wa Rosse Ndauka kwa Mc Pilipili
Mmmh haya na boo wangu nae kalala 



sijui huwa zinanini 

@mcpilipili Hongera mume wa wanawake sita...SITAKI MASWALI
 |
Mc Pilipili akiwa na Tuzo |