Mbunge Peter Lijuakali ameachiwa huru

Mahakama Kuu ya Tanzania imetengua hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya ya Kilombero ambayo ilimtia hatiani na kumfunga jela mhe.

Peter Lijuakali (Mbunge wa CHADEMA jimbo la Kilombero), kwa hiyo Lijuakali ameachiwa huru baada ya kutenguliwa kwa hukumu iliyomfunga gerezani.