Alichokiandika Wema Sepetu baada ya Akaunti ya Instagram ya Shamsa Kuhack

Maneno ya wemasepetu Dah Ila 2.1M Followers ni wengi jamani.... Mrudishieni tu Kamanda Baby Shamsa account yake.... Mwenyewe kasema anasoma Al-Badir jamani... Mie simooo.... Alafu basi ungekuwa unaitumia vizuri basi yaani unamchafulia sana mwenzio yaani daaah.... Dats very wrong.... Rudisheni account ya Shamsa please... Narudia tena anasoma Al-Badir... Ila kuna watu wanakera saana.... Kwani ukifungua account yako mwenyewe ukatafuta followers wakaendana na kitu unachofanya kuna tabu gani hadi wanaanza kutafuta account za watu.... Followers wanauma jamani asikwambie mtu.... Naombeni msinihack mimi tu tafadhal...