LADY JAYDEE AMEFUNGUKA JUU YA MAHUSIANO YAKE NA KUACHANA NA MPENZI WAKE MNIJERIA

#Spicy Ni baada ya maneno kuzagaa kuwa amepigana kibuti na Mnigeria huyo ikiwa ni siku wiki chache baada ya kuandika maneno yaliyomo kwenye wimbo wa  Rosella katika mtandao wa Instagram.

#LadyJayDee👉“Niko vizuri na Spicy, yale maneno niliandika kwa ajili ya muziki, watu wanapenda kuona wenzao wanaharibikiwa, kwanini wanakimbilia kuamini nina matatizo na Spicy na hawafikirii kuhusu kazi yangu? Niwakaribishe waje kwenye show yangu ya uzinduzi pale Lugalo Uwanja wa Gofu Ijumaa hii,”alisema kupitia Enewz EATV. . . #socialmediahabari