Alikiba kwenye Kolabo na YvonneChakachaka Mkongwe wa Nchini Afrika Kusini

Kaandika kuhusuu Wimbo ambao tayari unasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa Muziki Afrika ulirekodiwa jijini Johannesburg.


 
#Alikiba tayari ameshaelezea hisia zake baada ya kufanya kazi na muimbaji huyo na kueleza kuwa ni heshima kubwa kwa kuandika kwenye page yake ya instagram. 

“It was a great honor and pleasure to meet Mama Yvonne Chaka Chaka who I have loved and admired all my life, Thank you for hosting us and sharing your memories, advices and guidance. I am truly grateful and looking forward to our project,” aliongeza Alikiba
.
Na sasa #Yvonne naye ametumia Instagram kuelezea collabo hiyo. Amedai kuwa amefurahi kufanya kazi na hitmaker huyo wa Aje.