MEXENCE ASHTAKIWA KWA MAKOSA MATATU IKIWEMO KUTO SAJILI MTANDAO WAKE WA JAMII FORUMS

Mwanzilishi Mwenza wa JamiiForums, Maxence Melo ameshtakiwa kwa Makosa 3 likiwemo la kuendesha na kumiliki tovuti ambayo haijasajiliwa hapa nchini kinyume cha sheria.



Makosa mengine mawili aliyoshtakiwa nayo ni Kuzuia Uchunguzi wa Jeshi la Polisi.

Zoezi la kumpatia dhamana Maxence, limeshindikana baada ya kuongezwa shtaka la tatu. Amepelekwa gereza la Keko mpaka Jumatatu.