![]() |
Drake na Wizkid |
Wizkid kutoka Nigeria ametajwa katika tuzo hizo za #grammaawards kupitia wimbo wa #One Dance alioshirikishwa na #Drake kutoka kwenye albam yake ya Views ambayo ipo kwenye kipengele cha albam bora ya mwaka. #Grammy ni moja ya tuzo zinazoheshimika sana duniani ikitajwa kuwa ni tuzo zinazompa msanii heshima ya milele kwenye kazi zake.