Sababu ya Idrissa Sultan kutoweka Wazi Mchongo Aliopata UGANDA


Mshindi wa Big Brother Africa 2014 Mtanzania Idris Sultan amepata shavu la kuwa host wa Tuzo kubwa za Fashion za Abryanz Style & Fashion Awards zinazotarajiwa kuhappen weekend hii huko nchini Uganda.

“Namshukuru sana Mungu kwa kupata nafasi hii, Katikati ya mwezi November walinipigia simu na kuniambia kuwa wananifikiria katika mchongo huo, lakini sikutaka kuweka wazi kutokana na maneno maneno ya wabongo.” alisema @idrissultan