WASSIRA KUWA MSEMAJI MKUU WA CCM

Mwanasiasa Mkongwe, Steven Wassira ameteuliwa kuwa Msemaji wa CCM, anachukua nafasi Ole Sendeka aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe.



Makongoro Nyerere awa Naibu Katibu Mkuu Bara na Ndugu Peter Maduki ateuliwa kuwa Mweka Hazina anachukua nafasi ya Zakhia Meghji. Nafasi ya Naibu Katibu Mkuu Zanzibar ameteuliwa Zahoro Ally.

Je unadhani wateule wataendana na kasi ya Rais Magufuli?