WAZIRI WA VIWANDA ATEUA WAJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA MAENDELEO YA BIASHARA

Kufuatia uteuzi uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, wa kumteuwa Mhandisi Christopher Kajolo Chiza kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Charles P. J. Mwijage (Mb), Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji ameteua wafuatao kuwa wajumbe wa Bodi;



a) Bibi Dorothy Stanley Mwanyika

b) Bwana Canuth Gallus Komba

c) Bwana Leo Mavika

d) Bwana Alfred Mapunda

e) Bwana Francis Abdallah Lukwaro
f) Bwana Geofrey Kirenga

g) Bwana Mkwale Adam Taib

h) Bwana Seif Said Issa

i) Bwana Mohamed Jaffar Jummanne

Uteuzi huu unaanza tarehe 17 Desemba, 2016

Prof. Adol F. Mkenda
KATIBU MKUU
BIASHARA NA UWEKEZAJI