Tunakushkuru sana Mkuu wa wilaya Iringa Mh: Richard Kasesela kwa Kututembelea Vijana wako na pia kutukaribisha rasmi Iringa kuja kula Sikukuu ya X-mass tareh 25/12 /2016 kwenye #VodacomWasafiFestival ...lakini pia nitumie fursa hii kuwapa pole ndugu zetu wa IRINGA kwa kubomokewa ama kupoteza makazi zaidi ya 86 kutokana na Mafuriko yaliyotokea....kwakuamini kuwa sisi sote ni binaadam na kuwa la kwako ni sawa na la kwangu, tukiwa kama @Wcb_Wasafi tumeahidi kutoa Nyumba Tano kwajili ya wahanga hao na Panapo Majaaliwa tutazikabidhi Nyumba hizo siku tutayofika Iringa
WCB Wasafi kutoa Msaada wa Nyumba Tano kwa Wahanga Wa Mafuriko IRINGA
Alichoandika Diamond Insta kuhusu kutoa msaada wa Nymba tano kwa Wahanga wa Mafuriko huko Iringa.
Tunakushkuru sana Mkuu wa wilaya Iringa Mh: Richard Kasesela kwa Kututembelea Vijana wako na pia kutukaribisha rasmi Iringa kuja kula Sikukuu ya X-mass tareh 25/12 /2016 kwenye #VodacomWasafiFestival ...lakini pia nitumie fursa hii kuwapa pole ndugu zetu wa IRINGA kwa kubomokewa ama kupoteza makazi zaidi ya 86 kutokana na Mafuriko yaliyotokea....kwakuamini kuwa sisi sote ni binaadam na kuwa la kwako ni sawa na la kwangu, tukiwa kama @Wcb_Wasafi tumeahidi kutoa Nyumba Tano kwajili ya wahanga hao na Panapo Majaaliwa tutazikabidhi Nyumba hizo siku tutayofika Iringa
..... ndugu zetu wapendwa kwa alie na chochote pia anaweza kuwachangia ndugu zetu wa Iringa, waweze fanikisha makazi ama Nyumba hizo 85....