HARMONIZE KAYATOA YA MOYONI KUHUSU JANGA LA UNGA KWA WASANII

Harmonize kutoka Wasafi ameamua kutoa yake ya moyoni kupitia mtandao wa Instagram kutokana na kile kinachoendelea na kuwakumba baadhi ya wasanii ambao walikuwa wakikubalika kwa mashabiki.

#Harmonize👉"Daaah Mungu tunusuru na hili janga la #Unga mana sisi tuna ushawishi mkubwa na tunatizamwa na watu wengi walio timamu na wasio timamu pia tunaigwa….!!! kwanini isiwe kwa watu wengine…..?? mbona kila siku sisitu…..?? Aliandika kwenye mtandao wa Instagram