LORI LA MIZIGO LAINGIA KWENYE BARABARA YA MABASI YA MWENDOKASI

Lori la mizigo lililosheheni mahindi limeingia kwenye barabara ya mabasi yaendayo haraka lilipokuwa likitokea Soko la Tandale, Manzese jijini Dar es Salaam. | Kufuatia hali hiyo kulitokea msongamano mkubwa wa mabasi katika eneo la Manzese darajani sababu mabasi hayakuweza tena kupita.