DODOMA: Mkuu wa Mkoa Paul Makonda alihojiwa mbele ya Kamati ya Bunge ya Haki

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda akihojiwa mbele ya Kamati ya Bunge ya Haki, kinga na Madaraka kujibu tuhuma zinazomkabili za kuingilia Haki, Uhuru na Madaraka ya Bunge. Wito wa kufika mbele ya kamati hiyo umefikiwa kifuatia azimio la Bunge lililotewa tarehe 8 Februari 2017 kumuomba Spika kuwaita mbele ya kamati wakuu wa wilaya na mikoa waliotoa matamshi ya kudharau mamlaka ya Bunge