Msanii kutoka kundi la Yamoto Band #Beka amefunguka mazito kuhusu #Yamoto

Msanii kutoka kundi la Yamoto Band iliyo chini ya Mkubwa Fella, #Beka amefunguka mazito kuhusu #Yamoto.....amesema kuwa swala la msanii kufanya nyimbo yake alijavunja kundi kwani bado wako pamoja na kufanya nyimbo kila mtu yake wamepata baraka zote za kwa uongozi wao.

Beka👉“Uongozi tuliomba utupe ruhusu ya sisi kufanya  nyimbo kila mtu mwenyewe na uongozi ulitubariki kufanya hivyo ila tukitoa nyimbo yoyote nje ya Yamoto band uongozi hausimamii chochote kwenye hizo nyimbo” Alisema

Beka ameweka sawa baada yakuenea uvumi kuwa #YamotoBand imevurugika kwa kuona wasanii wakitoa nyimbo zao kama #Aslay na #Maromboso.