Alichokiandika Diamond kuhusu kuchaguliwa kipengele cha Msanii Bora Africa katika Tuzo za Mama MTV Africa Music Awards




















Jus wanna thank you all and let you know that your innocent and Favorite Boy @DiamondPlatnumz has been nominated as the Best Male African on Mama MTV Africa Music Awards

(Wakati kila kona tukirindima na #SALOME Ningependa niwashukuru saaana na niwajuze wadau na Mashabiki zangu pendwa kuwa kijana wenu Usiku wa jana nimechaguliwa kipengele cha Msanii Bora Africa katika tunzo za Mama MTV Africa Music Awards....tafadhali msisahau kunipigia kura