Alichoongea Mtangazaji Skytanzania kuhusu Alikiba na Diamond

Haya ndiyo aliyoongea Skytanzania Mtangazaji na Mwandishi wa vitabu katika Mtandao wa Instagram kuhusu kufanya show kwa Wasanii wa Tanzania wenye ushindani mkubwa katika ugawaji wa Tuzo za MTV MAMA. Pamoja na kufanya show, Aliba anawania Tuzo katika kipengele cha Best Collaboration aliyofanya na Saut Sol wa Kenya na Huku msanii Diamond akiwania Tuzo katika kipengele cha BEST MALE.

Haya ndiyo aliyoongea Skytanzania.....Tanzania tuna bahati sana... Kuwekwa wawili hawa kwenye stage moja ni ishara kuwa nguvu yao ina umuhimu mkubwa kuonogesha show ya MTV MAMA Mwaka huu.  Naamini wote watafanya vzr.  I am proud of both of you