Alikiba Kutumbuiza katika Steji ya MTV AWARDS

WE ARE TAKING OVER AFRICA!
Kwa mara ya Kwanza kwenye Steji ya MTV AWARDS,Kutoka Kariakoo mpaka Africa. Katika utoaji wa Tuzo Wasanii hawa 3 Wataperform LIVE Jukwaani Oktoba 22 Mwaka huu. Cassper, Kiba na YCEE.























Na hii inaonyesha jinsi Gani mziki wetu wa Afrika Mashariki huku ndiko umefika na tunasonga Mbele...
Hongera Sana kwa Hatua Hii na Huu ni Mwanzo tu...TUMEAMUA.
Mwaka Mzuri kwako King Kiba