Lionel Messi Kukaa nje ya uwanja kwa muda wa Wiki tatu


Baada ya kuumia usiku wa jumatano katika mchezo wa La Liga vs Atletico Madrid, Lionel Messi atakaa nje ya uwanja kwa wiki 3. Baada ya Mchezo wao wa La Liga waliokutana siku ya Jumatano ambapo walitoa sare ya 1-1 na Atletico Madrid.



















Kutokuwepo kwake katika Kikosi cha Barcelona ni pengo kutokana na Muunganiko wao wa Messi, Nermay na Suarez. Ikumbukwe kuwa Combination yao ni hatari zaidi kwa timu yoyote ile ambayo wanapambana nayo.