Kilimajaro Queens wamewasili nchini muda mfupi uliopita

Mabingwa wa CECAFA Kilimajaro Queens wamewasili nchini muda mfupi uliopita na kupata mapokezi kutoka kwa viongozi mbalimbali wa kitaifa wa na shirikisho la soka nchini TFF.

























Wametawaza kuwa Mabingwa wa CECAFA baada ya kuwachapa Timu ya Taifa ya wasichana ya Kenya kwa mabao 2 na Kenya wakiambulia bao 1.