Diamond Kayasema haya Baada ya Kununua Nyumba South Africa

Ikiwa toka Diamon aingie kwenye mahusiano na mrembo ZariHassan na kubahatika kupata mtoto mmoja. Mara kwa mara alipoenda kumuona mtoto wake South Africa alikuwa anafikia kwenye Hotel. Leo katika Akaunti yake ya Instagram amepost picha ya nyumba yake ya South africa na ameyaandika haya kwa wanaombeza.




















They are busy bragging them selves that they are Rich while their Kids staying in the Renting House... and now a person wich they are daily abusing and saying that he's  broke & Poor  Bought a House, so that their Kids can have a better life, as they always wish on Social Media..... Happy Birthday Mama tee i hope you like our new South African House....Can't wait for your Big weekend in Zanzibar tomorrow....I love you So much mama tee, we ndio Salome wa Moyo wangu pekee @zarithebosslady ðŸ˜™ðŸŒ·ðŸŽ‰ðŸŽ‚🎂🎉🌷 (Wanakazana kujisifu Matajiri Ilhali watoto zao wanaishi kwenye Nyumba zakupanga... halaf leo yuleyule wanaemtukana kutwa kwenye Mitandao kuwa Masikini, kajawa na shida, Kanunua nyumba kulekule kwao ili watoto wao waishi Maisha bora kama wanayoyatamani... Heri ya siku ya Kuzaliwa Mama tee wangu.... Nakupenda sana na unalifahamu hilo...natumai umeipenda Nyumba yetu hii mpya South Africa... nasubiria kwa hamu  kusheherekea nawe siku yako hii kubwa kesho zanzibar....😙🌷🎉🎂🎂🎉🌷