Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa asilimia 7.9



Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa asilimia 7.9 katika robo ya 2 ya mwaka 2016. Ukuaji huo umechangiwa na sekta za Madini, Uzalishaji na Nishati.

Katika robo ya kwanza uchumi ulikuwa kwa asilimia 5.5