Ziara ya Magufuli Bandarini Leo

Rais Magufuli leo amefanya ziara Bandarini. Awataka maofisa wa ngazi za juu wa TPA wenye vyeti bandia wajisalimishe mara moja.

Amekuta vifaa vya kukagua mizigo havifanyi kazi. Ameagiza vifaa hivyo viongezwe na kufikia 6 na vilivyopo vifanye kazi.