Amesema anamuunga mkono Rais Magufuli na Serikali yake



Rais mstaafu Kikwete, asema anasikitishwa na wanaomlisha maneno mitandaoni. Amesema anamuunga mkono Rais Magufuli na Serikali yake. Amesema anasikitishwa na matumizi mabaya ya picha zake mitandaoni hususani watu kunilisha maneno na kutaka kutimiza malengo yao ya kisiasa. 

Hivi karibuni Rais Mstaafu Kikwete alinukuliwa akitoa kauli iliyozua gumzo mitandaoni hasa pale aliposema "Unapokuwa mpya watu wanataka mambo mapya pia, lakini yawe mapya ya maendeleo na sio ya kuharibu kule tulikotoka"