Cuba ipo tayari kushirikiana na Tanzania kwa kutumia utaalamu na uzoefu wake



Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli akimuonesha kinyago cha Twiga Makamu wa Rais wa Cuba Salvador Valdes Mesa kabla ya kumkabidhi kama zawadi ikulu jijini Dar es Salaam. Bw Mesa amesema Cuba ipo tayari kushirikiana na Tanzania kwa kutumia utaalamu na uzoefu wake. 



Amesema nchi yake itatuma wataalamu kwa ajili ya kuangalia namna itakavyotekeleza ombi la kujenga viwanda vya kutengeneza dawa za binadamu na pia atazungumza na wafanyabiashara wa Cuba na kuwashawishi kufika Tanzania ili kuwekeza katika uzalishaji wa sukari.
Picha/Ikulu, Tanzania


BBC