Hii ilikuwa siku ya jana pale Diamond alipokuwa anapost picha za Nyumba yake aliyonunua Afrika kusini siku za hizi karibuni. Diamond aliandika maneno baada ya comment ya baadhi ya mashabiki zake ambao wanasema kuwa nyumba sio yake.
Aliandika haya Asa kunya nakunya mie makalio yanawauma wengine, eti inahuu....? Wambie wasininunie mie, wakazane....halaf hii clip naomba wanangu mnisaidie kuwatag wote waliokuwa busy kupost na kuzungumza Kuwa nyumba hii si yangu....waambie hizi ndio kwanza rasharasha clip hata kupost sijaanza bado....soon naamia ndani
![]() |
Nyumba ya Diamond aliyonunua Afrika kusini |