Esmaplatnumz Mama Mtoto
Happy birthday my princess kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa zawadi kwani mi naona ni zawadi kutoka kwake kuwa nanyi kwangu ni faraja kubwa sijui bila nyinyI ningekuwa wapi... nawapenda wote na namuomba Mungu awape upendo mpendane km mnavyopendana msaidiane mshikane inshallah. mama anakupenda mimi bila nyinyi hakuna Esma
thank you @bennyphotop kwa kapic katamu
![]() |
| Esmaplatnum na Mtoto wake |
Kendrah_michael Mama yake Diamond
Happy birthday @tahiyabby
Diamond
A big birthday wishes to my beautiful niece.... @tahiyabby i call her baby tee
Wema Sepetu
Hongera sugar @_esmaplatnumz umekuuza mama... Ila tunapoelekea kuna ulazima wa kufuga Ka Chui hata kamoja la sivyo mafisi kama nawaona... Happy Birthday to u beautiful baby Tahiya... Allah akukuuze my love... @tahiyabby @tahiyabby ....#ijumaakareem
AuntyEzekiel
Happy bday Toto Ziri Miss Tz mwenyewe ....Hongera my @_esmaplatnumz Umekuza jaman Mwenyezi Mungu aendelee kukukuzia wanao Inshallah kuzaa Mapema nako Raha jaman wetu ndio kwanza taah teeh tiiih akifika hv mie bibi tena
Petitman
Happy Birthday Miss wangu wa Dunia kabisa Mwanangu wa kwanza kabisa unajuaga vile nakupenda sana mungu akukuze kwenye maadili mema @tahiyabby @tahiyabby Hongera kwa kukuza @_esmaplatnumz #LFLG


