Basi la NEW FORCE la gongana uso kwa uso na Lori



Kuna ajali mbaya imetokea Igurusi wilaya Mbarali-Mbeya basi la kampuni ya NEW FORCE linalofanya safari zake Tunduma kwenda Dar limegongana uso kwa uso na Lori.



Dereva wa basi alikuwa anaovateki kwenye kona ndipo akagongana na Lori na gari zingine mbili taarifa za awali zinaonyesha dereva wa roli amevunjika miguu na baadhi ya abiria kwenye busi wamejuruhiwa na kuvunjika viungo ila idadi ya vifu hakuna.