Jana nimeshinda tuzo ya "Mjasiriamali wa mwaka - Afrika" iliyotolewa na MEDEF nchini Ufaransa.
Ninashukuru sana kwa zawadi hii na ninafurahi kupeperusha vyema bendera ya nchi yangu 🇹🇿.
Yesterday evening I was awarded the "Entrepreneur of the Year - Business Africa" 2016 award by MEDEF France at the #ForumAgyp